KATIBUMkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inaendelea kuimarisha sekta ya elimu nchini kupitia matumizi ya ...
SHULE 19 za msingi na sekondari katika mikoa tisa nchini zimepokea vifaa vya TEHAMA vyenye thamani ya Shilingi milioni 769, hatua inayotarajiwa kuboresha ufundishaji wa masomo ya sayansi na teknolojia ...
TANZANIA inaendelea kupanua wigo wa ushirikiano wa kimataifa katika sayansi na teknolojia, baada ya ujumbe wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwenda Korea Kusini kwa lengo la kufungua fursa mpy ...
Utafiti ambao unafanyia majaribio teknolojia inayodaiwa kuwa na uwezo wa kutofautisha watu wapenzi wa kawaida na wapenzi wa jinsia moja umezua mzozo mkali kati ya waliotayarisha teknolojia hiyo na ...
Matumizi ya teknolojia yametajwa kuwa mbadala wa kudhibiti waharibifu wa misitu na kuhifadhi mazao ya rasilimali zilizopo kwa ...
Tangu kuzinduliwa kwake mwishoni mwa Novemba 2022, teknolojia ya akili bandia ya ChatGPT, inayotumia akili ya bandia (AI) kujibu maswali au kuunda ujumbe unapohitajika kutoka kwa watumiaji, imekuwa ...
Mashirika kote duniani yamewekeza hela nyingi kwenye teknolojia ya akili mnemba ila changamoto zimejitokeza. Gharama na faida ambayo havitabiriki, kupungua kwa watumiaji ni ishara kuwa mambo huenda ...
Bara la Afrika linasalia kua bara linalokua katika matumizi ya teknolojia katika michezo. Hata hivyo hivi karibuni michuano mingi ya shirikisho la soka barani Afrika CAF kama vile AFCON imeonekana ...
Tawala za kimabavu katika nchi za Mashariki ya Kati hutumia utambulisho ulioboreshwa kwa kutumia vifaa vya akili bandia vya kibaiometriki kuwafuata wapinzani wao. Mnamo mwezi Mei mwaka huu, Khalaf ...
Ni kauli ya rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, akiwanyooshea kidole watu wanaoshikilia Imani potofu kuhusu ukuaji wa teknolojia barani Afrika, akisema wakati umefika kwa bara hilo kukumbatia mabadiliko ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results